habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,791
- 8,743
Gwajima ni mch machachari sana hapa Tz, wiki mbili hizi amekuwa kimya mno kulikoni? Waumini wa Mch Gwajima tuambieni kasafiri au yupo?
Naamini wapo wengi nikiwa mmoja wao tunotamani kusikia neno toka kwake.
Mch si vyema kuwa kimya hivyo Sema neno moja walau tufarijike km si kupona.
Mungu akipenda siku moja ntakuwa msharika wako,