Unyanyapaa kwa lengo la kusaidia

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
32,222
75,750
Ebola-victim-photo-by-Abbas-Dulleh-for-AP.jpeg

Unyanyapaa ni tabia ya asili tuliyonayo binadamu,kama ilivyo hasi na chanya tabia hii pia ina matokeo mawili mf:kumnyanyapaa mtu mwenye ugonjwa ambao unaweza kusambaa kwa njia za hatari kunaweza kutokea kwa kutosambaa zaidi kwa ugonjwa husika,kwa upande mwengine kunaweza kupoteza watu wakutegemewa kutokana na unyanyapaa usio na mantiki!!
Kwenye picha hapo juu ni aina ya unyanyapaa nilioupa jina unyanyapaa kwa lengo la kusaidia.
kitendo cha hao madaktari kuvaa hayo mavazi kwao ni kitendo cha ulinzi ndio ni ulinzi..lkn wenye aina fulani ya unyanyapaa kwa lengo jema
hii inatufundisha kuwa akili ni mlinzi wa maisha yetu na ndie anaeweza kwenda kinyume na asili baadhi..
ingekuwa nivigumu kumkaribia mgonjwa wa ebora bila kutumia akili ya namna hiyo hapo unyanyapaa ungetokea wa kinyama ambao ungeangamiza watu wengi zaidi lkn unyanyapaa uliojitokeza ni unyanyapaa wenye lengo jema.
 
Back
Top Bottom