Mgboss
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 497
- 278
Mkulu katoa point bila ushahidi wa kina.
Kwa tunaoamini biblia baada ya gharika Nuhu alipata wana watatu Shemu, Hamu na Yafethi. Wana wa Shemu ni Elamu, Ashuru, Arfaksadi, Ludi na Aramu. Wana wa Yafethi ni Gomeri, Magogu, Madai, Yavani, Tubali, Mesheki na Tirasi.
Twende kwa Hamu anayesemekana kuwa baba wa watu weusi. Wana wa Hamu ni Kushi, Misri, Putu na Kanaani.
Wana wa Kushi ni Seba, Havila, Sabta, Raama, Sabteka na Nimrodi.
Wana wa Misri ni Waludi, Waanami, Walehabi, Wanaftuhi, Wapathrusi, Wakasluhi.
Kanaani akamzaa Sidoni, Hethi, Myebusi, Mwamori, Mgirgashi, Mhivi, Mwarki, Msini, Mwarvadi, Msemari na Mhamathi.
Wakuu naombeni msaada wa kihistoria kuhusu undugu wetu na Ethiopia hata ikiwa nje ya vitabu vya dini.