NTEGEYE Jr
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 322
- 286
Binafsi nimeshangazwa taarifa hizi. Kwanini Viongozi na mamlaka zake zinalazimisha kuufunika ukweli. Vyeti vimekuwa vinakaguliwa kwa mtumishi yeyote wa serikali bila kujali anawajabika wapi. Lakini leo imefika issue ya Daudi Albert Bashite tayari ukaguzi umebadilika.
Mpaka napata hasira ila sina namna
Mpaka napata hasira ila sina namna