Kauli ya Makonda kwamba hata ukimya ni jibu wengi hawajaielewa

Mar 23, 2017
64
89
Asante Sana watanzania kwa kupenda udaku na kuongea Sana kama kasuku.

Nina Swali :Hivi kama unaongea na Mchumba harafu unajitahidi kuongea kwa hisia mpaka unalia kwa kumpenda na yeye yuko kimya na mambo yake na hakupi USHIRIKIANO wowote kama ukiendelea na mazungumzo Nani ataonekana ni mjinga? Wewe unayefosi kuchumbia?

Au Mchumba ambaye yuko kimya? UKIONA UNAONGEA NA MTU NA YUKO KIMYA MAJIBU YAKO WAZI, Ama wewe amekuona unaongea UJINGA Au Amekudharau. Hivyo chukua hatua. Aidha mkashitaki au mkae kimya mkiendelea kuzungumza maana yake huo ni UBASHITE uliokomaa.

Hongereni wauza madawa, mashoga, watumia shisha, WAVUTA BANGI kama Ney nk. Mnajitahidi Sana kuloga lkn mungu ni mkubwa kuliko uchawi wenu.
 
Sawa mchumba wa guberi Makondakta. Sasa mbona hujasema alikuwa na maana gani, umeishia kutoa mifano ya uchumba tu!!
 
Asante Sana watanzania kwa kupenda udaku na kuongea Sana kama kasuku. Nina ka Swali :Hivi kama unaongea na Mchumba harafu unajitahidi kuongea kwa hisia mpaka unalia kwa kumpenda na yeye yuko kimya na mambo yake na hakupi USHIRIKIANO wowote kama ukiendelea na mazungumzo Nani ataonekana ni mjinga? Wewe unayefosi kuchumbia? Au Mchumba ambaye yuko kimya? UKIONA UNAONGEA NA MTU NA YUKO KIMYA MAJIBU YAKO WAZI, Ama wewe amekuona unaongea UJINGA Au Amekudharau. Hivyo chukua hatua. Aidha mkashitaki au mkae kimya mkiendelea kuzungumza maana yake huo ni UBASHITE uliokomaa. Hongereni wauza madawa, mashoga, watumia shisha, WAVUTA BANGI kama Ney nk. Mnajitahidi Sana kuloga lkn mungu ni mkubwa kuliko uchawi wenu.

= halafu
 
Unaemtetea huku unamtusi eti huo ni UBASHITE.. Kwa kutumia neno UBASHITE maana yake ni kwamba umemtusi alokutuma uandike uloyaandika, pia inaonekana wewe ni muathirika wa uchumba kitu kama umekimbiwa na mchumba wako au umetoswa ndo maana akili yako imekaa kiuchumba uchumba..
 
utakua kwenye siku zako wewe subiri ziishe then uje kukagua ulichokiandika
 
  • Thanks
Reactions: SDG
HAJUI KUWA KUNYAMAZA NI JIBU LAKINI SIO SULUHU YA MATATIZO, ukinyamaza bado tatizo au swali litabaki pale pale hata kama halitaulizwa au litasahauliwa, KWAHIYO siku zote dawa ya swali ni jibu, haijalishi correct or wrong answer. Kujibu hoja ni ujasiri, kunyamazia hoja ni uwoga. MARA ZOTE asiye na jibu hunyamaza lakini mwenye jibu hakai kimya. Kuna msemo usemao ukiona kimya ujue sina, Kuna msemo unaosema hata debe tupu halikosi mlio. Sio wakati wote kunyamaza ni suluhisho, KAMA kiongozi ambae ni mfano, lazima awe na majibu kwa kila jambo linalokuja kwake ndomaana akaitwa kiongozi, kama ni mtawala hana sababu ya kujibu, lakini kama ni kiongozi lazima ajibu maswali ya anaowaongoza, hili halina kukimbia.
 
Asante Sana watanzania kwa kupenda udaku na kuongea Sana kama kasuku. Nina ka Swali :Hivi kama unaongea na Mchumba harafu unajitahidi kuongea kwa hisia mpaka unalia kwa kumpenda na yeye yuko kimya na mambo yake na hakupi USHIRIKIANO wowote kama ukiendelea na mazungumzo Nani ataonekana ni mjinga? Wewe unayefosi kuchumbia? Au Mchumba ambaye yuko kimya? UKIONA UNAONGEA NA MTU NA YUKO KIMYA MAJIBU YAKO WAZI, Ama wewe amekuona unaongea UJINGA Au Amekudharau. Hivyo chukua hatua. Aidha mkashitaki au mkae kimya mkiendelea kuzungumza maana yake huo ni UBASHITE uliokomaa. Hongereni wauza madawa, mashoga, watumia shisha, WAVUTA BANGI kama Ney nk. Mnajitahidi Sana kuloga lkn mungu ni mkubwa kuliko uchawi wenu.
Wewe ndiyo hukumuelewa. Maana ya kunyamaza ni kuwa unakubaliana na mashtaka. Hivyo anathibitisha kuwa hana vyeti na kweli Alipata division zero
 
ye kasema wenye akili wameelewa ndo maana kakaa kimya...sasa wenye akili tushaelewa mkuu hana vyeti na hawezi vipata....basi inabid tupige kimya tuwaachie wenye mamlaka wakishindwa basi tunaendelea na mambo mengine ya maendeleo
 
Usikute ni wewe mwenyewe cocochanel kwa ID nyingine!! Maana mahaba ulionayo kwa Bashite ni balaaa!!

Mahaba kwa kweli ninayo, labda siku moja nitakutana nae nimuuluze kama amewahi kumsoma mtu anaitwa Cocochanel, tusalimiane kila mtu aendelee na yake.

ID ingine hapana.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom