chanaga
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 344
- 190
Naomba kujuzwa hii imekaa vipi,Jana mkulu alikua akiongea lugha yetu Taifa alipomkaribisha Waziri mkuu wa Ethiopia lakini akiwa bandarini waziri mkuu na Le professor walikua wanawasialiana na mtu yule yule kwa kiingereza,je kidhungu ndio shida au hawapendi kuiendeleza lugha yetu adhimu.