Baada ya kuzidiwa na kileo aangukia kisogo na kuvuja damu

malaika wa motoni

Senior Member
Jul 28, 2016
131
102
Wandugu,

Nipo The Dreams resort Mwanza, wakati naenda maliwato nimekutana na mtu amelala chini huku anavuja damu watu wa karibu yake wanasema ameanguka baada ya kuzidiwa na kileo.

My take.
Mwisho wa mwezi na weekend ni vema tukanywa kwa kiasi huku tukikumbuka wategemezi wetu.
 
Wandugu'

Nipo The Dreams resort Mwanza, wakati naenda maliwato nimekutana na huyu mtu amelala chini huku anavuja damu watu wa karibu yake wanasema ameanguka baada ya kuzidiwa na kilewo.

My take.
Mwisho wa mwez na weekend ni vema tukanywa kwa kiasi huku tukikumbuka wategemezi wetu
eda2996769c532a89eda7e83f9ad342b.jpg

Ungemuwaisha hospital ingekua jambo la maana sana.
 
Tanzania raha sana kwa kweli. Huyu anaweza kuvuja damu hapo mpaka kukata roho watu wanamwangalia tu. Sana sana wakipata nafasi wanamwibia kila kitu alichonacho. Kwa wenzetu huko angekuwa tayari keshawahishwa emergency room tayari. Kwa hili tu la medical emergency ndiyo huwa najutia kabisa...
 
Huo mda wakutoa simu mfukoni,kutoa pin au pattern, kuatafuta camera,kupiga picha, kisha kufungua jf uandike na upost si bora ungepiga simu hata polisi(112 emergency) waje hapo ka kumuaisha hosipitali imekua shida.
Ungekua umefanya la maana,kuliko kumuanika mtu kwenye mitandao,hamna mtu ambaye atafurahi aanikwe tena akiwa kwenye hali hiyo.Kama bado wasoma hizi comments na huyo mtu bado yupo hapo tunakuomba/ninakuomba umuwaishe akapate huduma ya kwanza.
Nimeona umesema watu wasinywe kupita kiasi,unahuakika gani kama hiyo ndo sababu, labda anaumwa,kasukumwa,kateleza nk...
 
Mtoa mada ameandika aliowakuta hapo wamesema kaanguka.Obvious watakuwa walicha omba msaada wa haraka.
 
Uko sehemu ya pombe, halafu mwenyewe kama alikua anakunywa obvious hutapata jibu lingine zaidi ya hilo.
Nimatumaini yangu mkuu pia kuwa watakuwa wamempa msaada wa haraka.
 
Wandugu'

Nipo The Dreams resort Mwanza, wakati naenda maliwato nimekutana na huyu mtu amelala chini huku anavuja damu watu wa karibu yake wanasema ameanguka baada ya kuzidiwa na kilewo.

My take.
Mwisho wa mwez na weekend ni vema tukanywa kwa kiasi huku tukikumbuka wategemezi wetu
eda2996769c532a89eda7e83f9ad342b.jpg

Subiri kuisaidia polisi
 
Huo mda wakutoa simu mfukoni,kutoa pin au pattern, kuatafuta camera,kupiga picha, kisha kufungua jf uandike na upost si bora ungepiga simu hata polisi(112 emergency) waje hapo ka kumuaisha hosipitali imekua shida.
Ungekua umefanya la maana,kuliko kumuanika mtu kwenye mitandao,hamna mtu ambaye atafurahi aanikwe tena akiwa kwenye hali hiyo.Kama bado wasoma hizi comments na huyo mtu bado yupo hapo tunakuomba/ninakuomba umuwaishe akapate huduma ya kwanza.
Nimeona umesema watu wasinywe kupita kiasi,unahuakika gani kama hiyo ndo sababu, labda anaumwa,kasukumwa,kateleza nk...
Tatizo si kumsaidia majeruhi, tatizo ni kuisaidia polisi.
 
Tayari tumetoa taarifa kituo cha polisi na wamekwisha muijia na kumbeba..
 
Back
Top Bottom