Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wanajamvi, Tangu awamu ya tano ya mheshimiwa JPM imeingia madarakani kuna wageni wengi kutoka mataifa mbali mbali wamekuwa wakija nchini mwetu na kumwaga ahadi kede kede, nyingine za...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
WALIMU WOTE WENYE DIPLOMA YA KISWAHILI,HISTORY,GEOGRAPHY NA LANGUAGE WAKAFUNDISHE SHULE ZA MSINGI" SHULE ZA SEKONDARY NI KWA AJILI YA WALIMU WENYE DIPLOMA YA MASOMO YA SAYANSI NA WALIMU WA ARTS...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wana JF hasa wale waliofanya linguistics niulize lolote
0 Reactions
2 Replies
909 Views
Habari zenu wanajamii, Kuna binti mmoja wa kidato cha 3 ameachishwa shule kwa kukosa ada. Ni kweli wapo wengi ambao hushindwa kuendelea na shule kwa sababu mbalimbali lakini kilichonigusa ni...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni muda mrefu najiuliza swali kwanini upelelezi wa tanzania huchukua muda mrefu mpaka miaka 7, Na mtuhumiwa akishikwa na hatia huanza upya bila ya kujali ni muda gani aliosota mahabusu,kidogo...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kila kukicha huamka na mambo mapya.
0 Reactions
0 Replies
817 Views
Nashindwa kuelewa hili zoezi la kudhibiti dawa za kulevya!Kila nikikutana na habari utaona dawa za kulevya aina ya bangi imeteketezwa!Sasa ninajiuliza maswali mawili 1. Hivi hawa mateja...
0 Reactions
0 Replies
560 Views
mashamba ya bangi yazidi kufichuliwa Takriban hekari kumi za mashamba ya bangi zimebainika katika wilaya ya Rungwe Mbeya ambapo hekari saba na nusu zimeteketezwa. Zoezi hili ambalo limefanyika...
0 Reactions
2 Replies
926 Views
. PICHA NA ELIMU KUBWA Picha hii ni ya mwaka 2010, yaani miaka saba iliyopita. Wa tatu kwa waliokaa kutoka nyuma ni Kassim Majaliwa ambaye wakati huo alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji. Majaliwa...
2 Reactions
2 Replies
981 Views
Kumekuwa na nyuzi humu zinazoulizia hili gari lakini hakuna majibu ya kuridhisha Na nyuzi nyingine ni za zamani wakati spare zikiwa chache sana Tafanya naombeni ushauri Safari zangu ni za hapa...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Najua Rais wetu mpendwa uwaga anausoma mchezo kwanza na ana kupima utendaji wako Mnakumbuka sasa ni zaidi ya miezi 9 tangu uhakiki wa watumishi hewa na vyeti fake Lakini kama unavyojua unapo...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Jamani,jamani,wa matopeni mambo magumu Kaitaba.Fakika ya ishirini Kagra 2 Simba Bashite.
0 Reactions
2 Replies
920 Views
Niliwahi kupost uzi fulani hapa,nikipendekeza yanga kubadili rangi ya log na jezi zao,nilishambuliwa sana hapa!. Dhamira yangu ilikuwa ni kutaka kuendlea kuipenda yanga lakini nilishindwa.hivyo...
5 Reactions
30 Replies
6K Views
kwann wanaume wengi awapend movies n series za mapnz kwann
0 Reactions
6 Replies
989 Views
Habari Wana JF.. Imekuwa kawaida kwa watanzania tulio wengi kukatishana tamaa juu ya matumizi ya lugha za kigeni hususani kiingereza. Aidha,ni mara kadhaa nimeona mtu uki-post kitu kwa...
3 Reactions
3 Replies
996 Views
Survival of the fittest Mimi ni mwanabiologia Kama utawekeza juhudi sehemu ukiwa jasiri eneo fulani 95% then kwingine itaonesha udhaifu Every action there is equal and opposite reaction
0 Reactions
1 Replies
843 Views
Wadau mpaka Leo nashindwa kupata jibu iwapo Mchungaji Mwasapila a.k.a Babu wa Loliendo" alikuwa Mganga au Tapeli.Maelfu ya watanzania Na majirani kutoka nje ya nchi walimiminika katika kijiji...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Visiwa vya Maldives kuzalisha MW 75 za umeme kutokana na upepo. Visiwa vinawekeza $200 milioni kununua vinu 30 vitakavyo fua MW 75. Habari njema kwa visiwa ikiwemo Zanzibar- energy independence...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari za Jumapili wapendwa? Nimewaza sana juu ya tohara kwa wanawake zinazofanywa na baadhi ya jamii za Kiafrika ikiwemo Tanzania. Katika tafakari yangu, nimegundua kuwa inawezekana tohara kwa...
2 Reactions
41 Replies
4K Views
Nadhani mkulu alikua sawa kabisa kufanya ule utumbuaji as huo ugonjwa haupo na haukuwepo kabisa nchini.
0 Reactions
0 Replies
625 Views
Back
Top Bottom