Hii shule ipo Halmashauri ya Mji Tarime, ni shule ambayo ufaulu wake ni hafifu sana, lakini kuna tatizo la kiutawala na la kitaaluma.
1.Walimu wanafundisha vituo viwili muda wa kazi, chuo cha utalii na kituo cha Tuition kinaitwa Paradise tuition centre.
Sasa hata kama hii nchi ina kiongozi ambaye wanamdharau kwanini wasifanye haya nje ya muda wa kazi? Kwanini iwe muda wa kazi? Je, kauli mbiu ya haki na wajibu wa CWT ndio inatekelezwa?
Prof. Ndalichako, Simbachawene msaidieni Rais kuzuia tabia hii chafu. Mimi kama mzazi wa mwanafunzi anayesoma Mogabiri sekondari imeniuma sana.
Sijui kama hii shule ipo Tanzania kweli kwa Magufuli au iko Kenya kwa Uhuru.
........
Hii shule IPO Tarime MJINI, walimu wake wanalipwa na serikali, ila mambo yake yalivyo ni kama private school.
1.Walimu watatu walikaa chumbani wakaja na maazimio ya kupandisha ada ya Hosteli. Licha ya mbunge Esther Matiko kuliongea hili bungeni lakini hakuna aliewajibishwa!!!!!!
2. Kupata nafasi hosteli hadi utoe kitu kidogo!!! Cha kushangaza hosteli zimejengwa na wazazi!!
3. Darasa jipya limejengwa kwa Tope!! Anae bisha aje ajionee mwenyewe msingi wote WA darasa jipya linalojengwa ni tope!!! Hakuna simenti oliyowekwa!! Mkurugenzi Elias Ntilihungwa alihoji akazimishwa!!! Ujenzi unaendelea!!!
4. Shule hii mwanafunzi akipigwa na mwanafunzi mwenziwe anapeleka kesi polisi!!! Hata walimu hawajulishwi,!! Hadi sasa kuna kesi mbili, ya alie UA MWenziwe mwaka Jana kwa kumkaba koo!! Nyingine MPYA ya wiki Jana iko polisi bila utawala kujulishwa,!!
Walimu wanafundisha vituo zaidi ya kimoja muda WA kazi!! PARADISE TUITION CENTRE WAPO!!!, UTALII COLLEGE KARIBU NA SHULE WAPO!!!
5 .MAPATO NA MATUMIZI HAYASOMWI, MWALIMU AKIHOJI ANAHAMISHWA, KUTISHWA, AU KUNYIMWA FURSA KAMA NYUMBA NA FURSA ZINGINE!!!
TAMISEMI FUATILIENI HILI, PITIENI RIPOTI YA UKAGUZI YA MWAKA JANA, UTAONA KILICHO ANDIKWA, HAKUNA MAJUNGU NI UKWELI MTUPU NILIO ANDIKA.
SINA CHEO, WALA SIHITAJI, NI RAIA MWEMA JIRANI NA SHULE, PIA NINA MWANAFUNZI PALE