Vituko vya kijijini kwetu enzi hizooooo!

Shida na raha

JF-Expert Member
Aug 8, 2014
3,773
3,471
Salam wanajamii.
Enzi hizo nyumbani kwetu ilikua bahati nzuri sana kuvaa nguo mpya, ukiona mwenzio kavaa nguo mpya ujuwe anasafiri.
Na kweli alikua anasafiri kwenda sehemu nyingine aidha mjini au anavuka kusiwa kingine.
Em na wewe lete vya kwenu enzi hizo ilikuaje?
Karibu sana.......
 
kijijini kwetu ilikuw ni marufuku kupanda njugu mawe, simba watakuja kijijini, na simba wapokuja ilipigwa mbiu ya mgambo kuwa aliyepanda upuuzi huo akafukue haraka sana...siku hizi hakuna hivyo vitu
 
Sisi kwetu ilikuwa mwisho wa kukaa chini ya mti ni saa 12 jioni.
Baada ya hapo ukikaa usiku hulali.
Majoka makubwa yanakuzunguka mwili mzima.
Ni hatari sana
 
Back
Top Bottom