Kwa wanachuo wanaolalamikia kupungua kwa Mb za Tigo!

Solution hipo hapa....nenda Voda Shop.Waambie unataka kuhama mtandao.Utapewa line ya voda lakini namba yako itabaki ile ile ya Tigo.Voda wana 500Mb kwa siku....2GB kwa wiki zikiambatana na 2GB kuanzia saa 5 usiku mpaka 11 asubuhi.....Unasubiri nini???
Wanapoweka kutumika usiku halo ndo wananichukiza
 
utumwa tu sometimes, mbona cc tumesoma tulikuwa hatujiendekez na izo bundle kwedreni
 
Ht voda watapunguza kwani wao tigo wajinga wapunguze tu wkt competition ni kubwa,just a matter of time tu
 
Halotel ya 500/MB 600 ila network yake ni ya Kobe haifunguki kwa wakati nadhani ni baadhi ya sehemu
 
183efab0a525fa04c9bcde1d9dd16b6f.jpg
hiyo ni mwisho wa matatizo.
 
Back
Top Bottom