Bornventure
JF-Expert Member
- Jan 29, 2017
- 529
- 523
Leo nimemsikiliza Dr Shain akiongea na wanahabari zanzibar. Amewasisitiza kutowaogopa wanahabari bali wanapaswa kuwatumia na kuwashirikisha habari mbali mbali za maendeleo na kijamii na kufanya hivyo kutajenga uzalendo na uwazi wa watawala kwa wananchi. Haya yoote aloyasema si ndiyo haya yoote anayoyaogopa na kuyapinga Mkuu wetu??