Mungu anisamehe, ila kwa hili naona hapana

Teeh teeh.

Wagalatia nuksi sana.

Hivi lini mtaacha usanii?.

Kuna yule tapeli mwingine anajifanya anafufua wafu.

Ukiangalia maigizo yake hata kanumba hajafikia viwango vyake.
 
Teeh teeh.

Wagalatia nuksi sana.

Hivi lini mtaacha usanii?.

Kuna yule tapeli mwingine anajifanya anafufua wafu.

Ukiangalia maigizo yake hata kanumba hajafikia viwango vyake.
Mwenzenu sharifu majini kajiunga nao
 
kama sio msanii, mjanja na tapeli huwezi kupata waumini wengi kwenye dini yetu..:D:)
 
Back
Top Bottom