Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Play "Ambush In The Night" "Ambush In The Night" (Ooh-wee, ooh-wee, ooh-wa!) See them fighting for power (ooh-wee, ooh-wee, ooh-wa!), But they know not the hour (ooh-wee, ooh-wee, ooh-wa!),; So...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
Nilsubili kwa hamu sana kusikia msimamo wa viongozi wetu wa UVCCM na kauli yao juu ya swala la kuvamiwa na kutekwa kwa wasanii na kisha kuonekana wakiwa ktk hali isiyo ya kawaida...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jana Diamond wakati unamwomba msamaha gwajima ulisema umegundua makonda na gwajima wanagombanishwa na mwanamke mmoja ambaye wengi tunaamini ni mange! Kwa hiyo wao hawana akili ya kuona...
0 Reactions
2 Replies
847 Views
Umofia Kwenu wana JF, Kutokana na hali ya kutekwa kwa watu inayoanza kushika kasi,nashauri ukifuatwa na watu usiowafahamu nyumbani kwako usijaribu kutoka,kama wana shida sana waambie wapige simu...
16 Reactions
83 Replies
9K Views
Naomba muisambaze hii kwa wanaotafuta scholarships. Prof. F.E.M.K. Senkoro, Ph.D. Visiting Professor, Language Centre, University of Namibia, Private Bag 13301, 840 Mandume Ndemfayo Avenue...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba muisambaze hii kwa wanaotafuta scholarships. Prof. F.E.M.K. Senkoro, Ph.D. Visiting Professor, Language Centre, University of Namibia, Private Bag 13301, 840 Mandume Ndemfayo Avenue...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Inasemekana nyama ya mtu ni tamu sana, kuzidi hata kitimoto na ukishaonja ikakuzoea huwezi acha Kuna kamtindo kanaelekea kushika kasi ya ajabu... KUTEKA WATU tunazunguka mbuyu kwakuwa tayari...
15 Reactions
65 Replies
6K Views
Yeye alikana kuhusu kutekwa kwao, lakini ghafla akaibuka na kuongea kuwa, Jumatatu haifiki watakuwa wamepatikana. Hii ni zaidi ya ujinga, ina maana alijua walipo. Mbona Saanane hajawahi...
2 Reactions
3 Replies
875 Views
Yanayojiri kutoka kwenye mkutano Mkutano wa waandishi wa habari ulioandaliwa na wanafamilia na producer wa Roma_Mkatoliki unakaribia kuanza na camera zetu zipo hapo. Mkutano wa waandishi wa...
27 Reactions
700 Replies
117K Views
Nimejiuliza sana kwa nini uchumi haukui, nimegundua hakuna anayepanga na kuweka mikakati bora ili kuikuza, kwa taarifa ya waziri wa fedha aliyoisoma ina mambo mengi ambayo ni nadharia tu. PendaTz
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Anayejua jinsi ya kurudisha picha zilizo kuwa deleted please anisaidie
0 Reactions
4 Replies
876 Views
Tunahitaji majibu ya maswali haya kuhusu utekaji 1: Watekaji ni kina nani? 2: Wamekamatwa? 3: Waliwateka wasanii kwa ajili gani? (What were they demanding) 4: Waliteswa? 5: Kuna ushahidi wa...
9 Reactions
41 Replies
4K Views
Kama kuna kitu ambacho watu wengi hawapendi watu wengine wawajue basi ni umri wao hivyo katika harakati za kufatilia suala hili ili kujua ni ipi hasa sababu nikagundua kuwa watu ambao hawapendi...
7 Reactions
65 Replies
8K Views
Kipindi cha nyuma kuna kituo kimoja cha Television kilikua kinapenda sana kuonyesha ni jinsi gani Waafrika hatupendani. Walikua wakionyesha jinsi Sisi Wenyewe tunavyofanyiana ukatili,Tukiuana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
0 Reactions
5 Replies
896 Views
Wakuu wa jukwaa amani kwenu! Kama mtakumbuka siku za nyuma lilitokea tukio la kuripotiwa habari ya ulevi wa mch. Anthony Lusekelo. Iliripotiwa kuwa mchungaji Lusekelo alipata kileo kikali kabla ya...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari za usiku ndugu zangu,? Mimi ni kijana wa miaka 25, ni mwezi sasa tangu niache kazi yangu (clinical officer) niliyoajiriwa na serikali ili nijiajiri binafsi kusudi baadae nije kufungua...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Salamu kwenu wana GT. Watanzania kwa pamoja bila kujali itikadi,dini wala kabila wamemuomba Baba Askofu Gwajima kuliombea Taifa hili la Tanzania kutokana na hali ya sintofahamu na yanayotokea na...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Watu 3 wafukiwa na kifusi katika machimbo ya kokoto Kigogo Fresh jijini Dar es Salaam,mtu mmoja aliyetolewa amefariki. Mkuu wa Wilaya ya Ilala Bi Sophia Mjema akiongozana na kamata ya uokoaji...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari za mchana wandugu nimehama mtaa wa saba nimehamia mtaa wa sita,lakini chumba nilichohamia sasa ni kipya kinachonikela kwenye sakafu yake kuna vumbi la simenti ambalo nadhani limetokana...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Back
Top Bottom