Ushauri: Dawa ya Watekaji aka Makirikiri

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
55,252
77,584
Umofia Kwenu wana JF,

Kutokana na hali ya kutekwa kwa watu inayoanza kushika kasi,nashauri ukifuatwa na watu usiowafahamu nyumbani kwako usijaribu kutoka,kama wana shida sana waambie wapige simu muongeee,ukiona wamekomaa basi jua hao watu sio wazuri.Hatua za kuchukua ni kuita majirani na hao watu wakijitambulisha kama ni polisi waambie hauwezi kutoka mpaka waje askari wa karibu na kituo chenu ndio waje kukuchukua,kama wakikomaa basi hapo haina budi kupiga NDURU ya kuwaita ni Majambazi ili wananchi waje na wachukue sheria mkononi ya kupiga hadi kuua hiyo ndio itakuwa fundisho kwa Makirikiri.Mbele ya wananchi wenye hasira kali Bunduki haifanyi kazi watapiga risasi kadhaa kisha mtawakamata na kutoa uhai wao,Nakumbuka kuna mwanaccm mwanza alishawahi kuuliwaa hivi hivi kwa kuwatishia watu bastola,aliweza kupiga moja tu then wananchi wakamvamia na kumpa kipigo hadi kufa,Kwahiyo Dawa ya Watekaji aka makirikiri ni hiyo tu ukiona usalama wako upo hatarini piga NDURU ya MAJAMBAZI au WEZI.

Njia ya Pili ni hii ya kutoka kigoma,Kama ndugu yako akipotea na kuna ishara kwamba ametekwa na watu wabaya,dawa yake ipo kigoma(nitakuelekeza kwa mtaalamu),Kama kuna mkono wa mtu basi hakuna rangi watakayoacha ona watapukutika kama kuku wa kideri,hii dawa nishawahi kumuelekeza mtu aliibiwa vitu vyake na majambazi kariakoo,alienda kigoma,aisee hauwezi amini walipuputika wote waliohusika na wizi na wengine walivyoona wenzao wanadondoka wakaja kuomba msamaha lakini jamaa alisema yeye hausiki na chochote,waliisha wote.

Hawa watu Tukiwachekea watatufanya wateja wao,tuchukue maamuzi,yatosha sasa.

From MINJINGU TOWN.
 
Ila king kong ushauri wako nao ni wakijinga. Unahalalisha watu kuchukua sheria mkononi na kuua kama vile unawaambia kamateni huyo kuku kisha chinjeni.

Dah una roho ngumu sana king kong.
 
Hizo risasi kadhaa zitaua watu kadhaa, na hakuna atakayeendelea kusubiri hapo zaidi ya kukimbia, unachezea risasi wewe! Hapa kariakoo tu mchana zikipigwa watu wanachukua hela na wanatembea hakuna wa kuwafuata, sembuse watakaokuja usiku! Acha kudanganya wenzako wewe.
 
Mkuu Hawa Watu Tukiwachekea kila siku watu watakuwa wanatekwa,Tukiua Makirikiri watatia akili,Hiyo ndio dawa yao,Akija mtu akileta ubabe ubabe wa kutaka kukuchukua bila utaratibu piga Nduru ya Mwizi tu basi wananchi watakuja kuwapa dawa yao.
 
Jeshi la polisi kama halihusiki na hali hizi ndio lilitakiwa litoe elimu kwa wananchi namna yakufanya ili kumtambua askar na asie askri ili au kumpa ushirikiano au kuzinguana nao..

Lkn pia kwaa sasa kila mtu amiriki siraha maana ishakuwq somalia hiii!
Askari akija anajitambulisha na anakuja na barua ya wito ila hawa makirikiri wanajifanya wao ndio wenye nchi,Wananchi tukiwachukulia hatua watajirekebisha.
 
Hizo risasi kadhaa zitaua watu kadhaa, na hakuna atakayeendelea kusubiri hapo zaidi ya kukimbia, unachezea risasi wewe! Hapa kariakoo tu mchana zikipigwa watu wanachukua hela na wanatembea hakuna wa kuwafuata, sembuse watakaokuja usiku! Acha kudanganya wenzako wewe.
Kiongozi haujawahi kukutana na wanachi waliochoka wewe,wananchi waliokata tamaa,hizo risasi wataonda kama karanga za kula,hwataogopa,Uliona ule mtiti wa MBEYA? Polisi na Difenda na risasi lakini walishindwa,sasa ndio makiriri watatu tu wawashindwe? Wanacnhi wakichoka hata ije kifaru kitasanda tu.
 
Ushauri mzuri,,,km kila anaetekwa hapatikani unadhani tutajilinda vipi,,,,, bora wakuue hapohapo ukipambanao ili maiti yako ipatikane,,, kuliko kukubeba kukupeleka pasipofahamika ukakosekana mwili wala uhai,,,,,ila mazoezi muhimu tulipofikia
Mkuu ni Kweli Ukipiga NDURU wananchi wakija hawaulizi WANAUA Tu,Na wakishauliwa hawa makirikiri next time wataacha ujinga wao wa kuteka watu.
 
Kiongozi haujawahi kukutana na wanachi waliochoka wewe,wananchi waliokata tamaa,hizo risasi wataonda kama karanga za kula,hwataogopa,Uliona ule mtiti wa MBEYA? Polisi na Difenda na risasi lakini walishindwa,sasa ndio makiriri watatu tu wawashindwe? Wanacnhi wakichoka hata ije kifaru kitasanda tu.
Jidanganye. Over
 
Mkuu ni Kweli Ukipiga NDURU wananchi wakija hawaulizi WANAUA Tu,Na wakishauliwa hawa makirikiri next time wataacha ujinga wao wa kuteka watu.
Kwa nini msiwaambie wasanii wenu waache ujinga? Kutwa kuchafuana wenyewe kwa wenyewe unadhani watakosa maadui wengi?
 
Ulitaka watu wajihami kivipi?
toa njia mbadala.......maana wenzetu wanapotezwa
Kweli mkuu inauma sana na kwa hasira lazima watu wachukue hatua mkononi kwakuwa polisi nao wanajidai hawajui kitu angali dalili zinaonyesha wanafahamu.

Cha muhimu nadhani ni kuwaondoa madarakani viongozi wote wanaotumia mabavu kutawala na ku terrorize raia na wanasiasa wa upinzani. Baada ya kung'oa mizizi basi mifumo yote ya kipolisi ifumuliwe pia na kuunda chombo huru cha kusimamia usalama wa raia na malizao.

Maana hiki tulichonacho chenyewe kina tumika kuteka raia na kuwatia hofu/woga huku kikiwalinda wachache waliojimilikisha nchi
 
Mkuu Hawa Watu Tukiwachekea kila siku watu watakuwa wanatekwa,Tukiua Makirikiri watatia akili,Hiyo ndio dawa yao,Akija mtu akileta ubabe ubabe wa kutaka kukuchukua bila utaratibu piga Nduru ya Mwizi tu basi wananchi watakuja kuwapa dawa yao.
Wanaume wa Dar au mikoani??
 
Tunaelekea pabaya sana
Kama tunavyofunga CCTV maoficini
Sasa kuna ulazima Wa kuweka cameras majumbani,kwenye magari na kumiliki bastola wallahi
Hali inasikitisha sana
 
Mkuu Hawa Watu Tukiwachekea kila siku watu watakuwa wanatekwa,Tukiua Makirikiri watatia akili,Hiyo ndio dawa yao,Akija mtu akileta ubabe ubabe wa kutaka kukuchukua bila utaratibu piga Nduru ya Mwizi tu basi wananchi watakuja kuwapa dawa yao.
Thubutu sio Dar labda mikoani,ni nadra sana wananchi kumsaidia MTU anaye kwenye hali ya sintofahamu,utapiga kelele na kila MTU atauchuna
 
Back
Top Bottom