mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,311
- 944
Habari za mchana wandugu nimehama mtaa wa saba nimehamia mtaa wa sita,lakini chumba nilichohamia sasa ni kipya kinachonikela kwenye sakafu yake kuna vumbi la simenti ambalo nadhani limetokana wakati wanajenga nadeki kila siku lakini aliishi ushauri wenu nifanyaje ili vumbi liishe