Baada ya matamko ya wana habari na waandishi kususia habari za Paul Makonda Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam.
Kuna malalamiko toka kwa wauzaji wa rejareja wa magazeti kuwa mauzo yao kwa siku...
#Roma mkatoliki na Wenzake wameondolewa Polisi Osterbay na kupelekwa Mwananyamala Hospitali Kuangaliwa afya.
Huyo ni wakili wa Roma akiongea muda huu na vyombo vya Habari.
Tulipo ni hatar sana, huku kutekwa na kpatkan kwa watu kwa nifanya nione Tz ni somalia ijayo! Imani inakwisha! Kufikia uchaguz 2020 watu maarufa wengi watapotea na itafkia muda wa wauchaguz...
NATAFUTA KAZI YA UDEREVA VIP
Mimi ni kijana wa kitanzania naish dar es salaam. Nina elim ya kidato cha nne, ninaongea vizur kingereza na nimepitia mafunzo ya udereva VIP grade II pale NIT mabibo...
Mimi siwezi kuacha kukuuliza ulisema mwezi machi utaenda kuuza gongo kama wale wandishi hawatakufa mwezi machi.
Vipi umeanza kuuza hiyo gongo au wale wandishi wameshakufa kama ulivyosema.
Mpaka sasa kwa watanzania: umeme,maji huduma za afya, usafiri,elimu na mengineyo ni anasa na huku kodi zinakusanywa everyday mnatuletea story za kutekana yaani sijui tunaenda wapi ipo siku...
*Ukiona kiumbe hiki ufukweni,kimbia*
Hauwezi kutegemea matatizo yeyote uwapo umetulia ufukweni, ila ni vyema kujua ni vitu gani vya kujikinga navyo ukiwa kwenye fukwe za bahari.
Mara nyingine...
Nimekuwa nikisikia viongozi wa juu haswa Rais JPM akijipambanua kila siku yuko kwa ajili ya watu masikini na wanyonge
Hili la wanyonge silisemei coz ni dhahiri huwezi kuwa mbabe then uwe mtetezi...
Inamana hamkuwa na taarifa kuwa kutakuwa na tuzo za RAIS MZALISHAJI BORA WA VIWANDA?
maana mmeitwa tuzo za ITV kimya! ,wakaitwa nipashe kimya! Wakaitwa the guardian kimya! hadi ikabid aombwe...
Maneno matupu hayavunji mfupa.
Yesu ni Mungu Kutokana na Koran (Sehemu ya Kwanza)
Waumini wa dini ya Kiislam katika Mihadhara mbalimbali ya kidini kupitia wahadhiri wao wa Dini wamekuwa...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo amewaagiza watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha kwa kushirikiana na watumishi wa Mamalaka ya Mapato Tanzania(TRA) Mkoa kukusanya Tsh Bilioni moja za...
Mtafute katika mitandao au muangalia katika tv stations mbalimbali au mbahatishe akiwa ' anatiririka ' mahala kisha mwangalie kwa jicho lako la ' tatu ' kabisa na lenye umakini wa kutukuka...
Siku moja kwenye story hizi za vijiweni jamaa mmoja akasema kuwa lilikuwa ni kosa moja kubwa sana la kiufundi kumuacha Ulimboka hai..kwakuwa mengi yatokanayo yalikuja kujulikana...Ulimboka...
Kwa muda mrefu sasa Idara ya Usalama wa Taifa ( Tanzania Intelligence and Security Service ) imekuwa ikihusishwa na matukio ya kutisha hasa ya utekaji nyara Watu au kuwadhuru au kutekeleza jambo...
Kutokana na hii sintofahamu iliyopo juu ya msanii Roma na wenzake watatu kutekwa na watu inaosemekana walikuwa wanne, hebu tujadiliane maswali haya huenda yakategua kitendawili hiki!
1.Je...
Mh. Waziri wa Tamisemi ulitoa siku 30 kwa maafisa elimu ambao kimsingi waliwahamisha walimu kinyume na taratibu kuwalipa stahiki zao ndani ya siku 30. Naomba kukujulisha kuwa tamko lako waliliacha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.