Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,576
- 729,450
Kuna kamtindo kanaelekea kushika kasi ya ajabu... KUTEKA WATU
tunazunguka mbuyu kwakuwa tayari tumeshachomwa ganzi ya woga lakini nao wameanza kunogewa wanafanya bila tahadhari huku wakiacha nyayo nyuma
Kupotea kwa Ben was perfectly done...but not a hundred percent correct... Waliacha clue moja muhimu sana msg ya onyo ile ya kubaki pekeyake na chatu
Wanaopotea kwa njia mbalimbali ni wengi sana ni kwavile tu hatutunzi rekodi na ni kwa vile wengi sio public figure
Ney wa mitego timing ilikataa wakanyoosha mikono juu haraka sana.....
Wamerudi tena wiki hii ikiwa ni zamu ya Roma mkatoliki, huyu kama Ney ni mwanamuziki... Wameondoka naye kwa mbinu za kizamani mno...
Kuna siku lakini watakwaa kisiki.... ZA MKWEZI MBILI.....!!!!!!!!!
Wakati naandika haya najiuliza WHO IS THE NEXT?
pengine orodha iko tayari... Dont be very sure.. You may be their next target.....
TUOMBEANE