Sirro:- Tunataka majibu kwa maswali haya

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
75,227
157,422
Tunahitaji majibu ya maswali haya kuhusu utekaji
1: Watekaji ni kina nani?
2: Wamekamatwa?
3: Waliwateka wasanii kwa ajili gani? (What were they demanding)
4: Waliteswa?
5: Kuna ushahidi wa majeraha? Au damu kutoka kwa aina yeyote ile.
6:Studio kuna CCTV camera? If yes zilishika sura za watekaji?
7: Wameachiwa huru au police wamewaokoa? Hao mashujaa/police ni akina nani? Tunaweza kuwajuwa tuwapongeze?
8: Wasanii wanaweza kutoka hadharani mubashara nakutuelezea kilichotokea ili tuwatizame machoni?
Nikipata majibu ya haya maswali nitakuja na mengine 10.
 
ikishindika kujibu maswali yote hayo basi tunaomba iyo nyimbo ya roma inayosemeka kuwa chanzo iachiwe tusikilize, labda tutapata image
 
Tunahitaji majibu ya maswali haya kuhusu utekaji
1: Watekaji ni kina nani?
2: Wamekamatwa?
3: Waliwateka wasanii kwa ajili gani? (What were they demanding)
4: Waliteswa?
5: Kuna ushahidi wa majeraha? Au damu kutoka kwa aina yeyote ile.
6:Studio kuna CCTV camera? If yes zilishika sura za watekaji?
7: Wameachiwa huru au police wamewaokoa? Hao mashujaa/police ni akina nani? Tunaweza kuwajuwa tuwapongeze?
8: Wasanii wanaweza kutoka hadharani mubashara nakutuelezea kilichotokea ili tuwatizame machoni?
Nikipata majibu ya haya maswali nitakuja na mengine 10.

Watekaji ni Tundu Lisu na Masha na washakimbia Mji wako Morogoro sasa hivi!
 
Si wapo hai wataitisha press conference hamna haja ya kuwasemea.
Hii picha kama ya ulimboka mpaka leo Hujawahi kuitisha press conference japo aliahidi... Hivyo hivyo na Roma hataitisha press conference.... Kama unabisha utakuja kuniambia mkuu.... Kitendo cha Roma kuongea na wana habari ujue mkeka wote hadharani
 
Back
Top Bottom