mnyonge wa hali ya chini
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 918
- 1,141
Nilsubili kwa hamu sana kusikia msimamo wa viongozi wetu wa UVCCM na kauli yao juu ya swala la kuvamiwa na kutekwa kwa wasanii na kisha kuonekana wakiwa ktk hali isiyo ya kawaida. Lakini mbaya zaidi baadhi ya watu hasa kwenye mitandao ya kijamii wanajaribu kulihusisha tukio hili na viongozi wa serikali na chama. Hivyo kwakuwa viongozi wa UVCCM mmekuwa mstari wa mbele ktk kutoa matamko ktk mambo mbalimbali, nawaomba na hili pia mlitolee tamko ili kuweka mambo ktk hali nzuri.
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app