Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Salam wakuu, n matumaini yangu weekend iko safi. Leo nazungumzia hili swala la mtuhumiwa anapohojiwa Polisi. Unakuta mtu ameitwa Polisi, the way wanavyomhoji mpaka anasema ukweli na ambavyo...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
MWEWE ASIYEONEKANA TANZANIA!! Huyu Mwewe ni Mwewe wa aina gani?, Anakamata na kula vifaranga bila kuonekana! Kila siku vifaranga vinapungua, havionekani vilipopotelea! Vifaranga vinajiuliza ni...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
0 Reactions
1 Replies
731 Views
Iko dhana ya kipolisi inayoamini kuwa kwenye uhalifu yule aliyetoa taarifa kwa mara ya kwanza na kwa jinsi alivyoitoa basi huwa ni mhusika wa rukio la kihalifu. Roma...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
kauli hii ameisema kupitia ukurasa wake wa Instagram, lakini pia akasema #Staytuned kana kwamba kuna taarifa fulani inafuata. Ame nukuu andiko kutoka kitabu cha ufunuo 13:10. Kwa namna nchi...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Ielewe nchi yako wapi ilipo na wapi inapoelekea. Soma sana na fanya utafiti mwisho wa siku utakuwa sio mtu wa kuburuzwa na wala sio mtu wa kufuata mkumbo. Watanzania tumekuwa watu fulani...
1 Reactions
0 Replies
4K Views
Ndg wazalendo wa nchi yetu Tanzania.. Nakumbuka kuhusu uvamizi wa kituo cha radio na matangazo cha clouds, tuliambiwa kuliwepo na askari maalum ambao hawatumiki bila kibali maalum kutoka kwa mtu...
0 Reactions
3 Replies
969 Views
nimeisikiliza hii clip inayosemekana ni ya mwisho daaah hadi machozi yamenitoka, jamaa anabusara nyingi mno...na ni very smart nikitizama alivokua bonded na familia yake sipati picha huyu mke wake...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Inasikitisha sana kuona vibaka wakiongezeka kwa kasi kubwa hasa huku kwetu bunju na maeneo ya tegeta wakati polisi wamejaa kila sehemu. Nawakumbusha tu polisi fanyeni kazi yenu acheni kutafuta...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Hivi wakuu, Mtu akiwa nyumbani kwake, au kazini kwake anaendelea na shughuli zake, mara gari inasimama na kumwambia upo chini ya ulinzi, ingia kwenye gari, then wanaondoka naye, raia wa kawaida...
15 Reactions
47 Replies
5K Views
Kweli mtu unafuatwa na watu usiowajua ofisini kwako, mpo zaidi ya kumi mnachukuliwa wanne mnashindwa kuhoji ni kina nani, wanachukua vitu vya studio, hata kunakiri namba ya gari mnashindawa, hata...
2 Reactions
6 Replies
958 Views
Haiingii akilini mtu huwezi kumudu mlo mmoja kwa siku halafu ananunua smart phone na bando la kukopa unamtetea mtu aliyeficha hela chafu ambazo zinauwezo wa kuendesha nchi kwa miaka mitano lazima...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Maisha ni safari ndefu sana lakini ukishafikia umri wa miaka 30 hapo utakuwa ndio umri wa kustaafu ujana na kuachana ujana. Baada ya kijana kufika miaka 30 na kustaafu ujana hivyo...
31 Reactions
61 Replies
8K Views
Rais Joseph Kabila amemteua Bruno Tshibala kuwa Waziri Mkuu katika serikali ya mpito ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Taarifa ya Rais iliotolewa Ijumaa imesema Tshibala anatokea kwenye...
0 Reactions
0 Replies
871 Views
TRA wamehamisha ofisi iliyokuwepo pale Manzese, kwa sasa zimepelekwa business park Morogoro road karibu na shekilango.
0 Reactions
1 Replies
9K Views
Kwanza nikiri mimi si mwana usalama hivyo sina taaluma hiyo. Pili, simhusishi yeyote na utekwaji. Lakini ni ukweli kuwa elimu ya usalama kwa watanzania wengi ni ndogo kuliko hata elimu ya uraia...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwanza niseme serikali hata ingejiosha kwa brush ya chuma hakuna anayeweza kuwaamini. Kwa hiyo waache kupoteza muda kukanusha au kufanya propaganda. Serikali ni suspect namba 1 na kama...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Wanajamvi, Jana wakati nikiwa matembezini nikikutana na vijana wenzangu katika kijiwe fulani wakiwa na mdahalo mkali sana kuhusu tarehe 25, kusheherekewa mwenye uelewa mzuri anisaidie na mimi...
0 Reactions
3 Replies
847 Views
Anaejua wapi zinapatikana tofali zileeee za kuchoma?
0 Reactions
0 Replies
785 Views
Habari ndugu? Kwa kipindi kirefu sana nimeshindwa kuwa mshirika wa dini, iwe Kristo/Islamic, niliamua tu niwe mpagani na kuitumia siku ya Jumapili Kama siku ya kufanya mambo yangu mengine kuliko...
4 Reactions
166 Replies
42K Views
Back
Top Bottom