Hii Ndio Sababu Ya Kwanini Watu Wengi Hawapendi Kujulikana Umri Wao..

Director D

Senior Member
Feb 24, 2016
192
229
Kama kuna kitu ambacho watu wengi hawapendi watu wengine wawajue basi ni umri wao

hivyo katika harakati za kufatilia suala hili ili kujua ni ipi hasa sababu nikagundua kuwa watu ambao hawapendi kujulikana umri wao kwa sababu

1.Ni watu wenye umri(miaka) mingi sana kuzidi mafanikio waliyonayo katika maisha yao
Ndio maana wale wenye mafanikio katika umri mdogo ni rahisi sana kutaja umri wao.
 
Na hasa Wanawake wapo sensitive sana na umri tofauti kidogo na wanaume sijui kwa nini,lakini pia pengine kuwa na umri mkubwa unahusishwa na kupitwa kwa baadhi ya mambo kubwa ni ukweli tu umri unavyokuwa mkubwa pia siku za kukaa duniani zinapunguka sasa inaleta hofu na kuna kama kujidanganya binafsi kuhusu miaka yako halisi
 
Kama kuna kitu ambacho watu wengi hawapendi watu wengine wawajue basi ni umri wao

hivyo katika harakati za kufatilia suala hili ili kujua ni ipi hasa sababu nikagundua kuwa watu ambao hawapendi kujulikana umri wao kwa sababu

1.Ni watu wenye umri(miaka) mingi sana kuzidi mafanikio waliyonayo katika maisha yao
Ndio maana wale wenye mafanikio katika umri mdogo ni rahisi sana kutaja umri wao.
Una umri gani?
Je mafanikio yako ni yapi?
 
Back
Top Bottom