Watatu wafukiwa na kifusi katika machimbo ya Kokoto Kigogo Fresh, mmoja atolewa akiwa marehemu

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Watu 3 wafukiwa na kifusi katika machimbo ya kokoto Kigogo Fresh jijini Dar es Salaam,mtu mmoja aliyetolewa amefariki.

Mkuu wa Wilaya ya Ilala Bi Sophia Mjema akiongozana na kamata ya uokoaji wanaendelea na zoezi la kuwanusuru waliofukiwa na kifusi.

======
UPDATES:

Watu wawili wameokolewa baada ya kufukiwa na kifusi eneo la Pugu, waokoaji wanaendelea kuwatafuta wengine wawili waliobakia chini
 
ANDIKENI VITU KWA UFASAHA.HILI TUKIO LIMETOKEA SEHEMU GANI HASA ? LIMETOKEA KIGOGO AU NI KIGOGO FRESH ? MAANA HAYA NI MAENEO MAWILI TOFAUTI.BE SPECIFIC PLEASE !
 
Back
Top Bottom