Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
Yanayojiri kutoka kwenye mkutano Mkutano wa waandishi wa habari ulioandaliwa na wanafamilia na producer wa Roma_Mkatoliki unakaribia kuanza na camera zetu zipo hapo.
Mkutano wa waandishi wa habari ulioandaliwa na wasanii, producer na wanafamilia wa Roma_Mkatoliki umeshaanza. Waandishi wako kwa wingi sana.
Baadhi ya wasanii wa Bongo fleva waliohudhuria kuzungumza na waandishi wa habar juu ya ufumbuzi wa msanii Mwenzao [HASHTAG]#Roma[/HASHTAG]
[HASHTAG]#FreeRoma[/HASHTAG] [HASHTAG]#FreeMoni[/HASHTAG]
Nitaanza kuweka updates live kuna jambo naweka sawa.
Mke wa Roma mkatoliki akishindwa kujizuia kulia mbele ya waandishi akitaka msaada wa kutafutwa.
Mke wa Msanii Roma Mkatoliki anashindwa kuongea analia anaiomba serikali kumtafuta mume wake na baba wa familia Roma Mkatoliki.
Anayezungumza muda huu msanii Mrisho Mpoto akiomba msaada wa kutafutwa msanii Roma Mkatoliki.
- Fid Q amewataka Watanzania kuacha kuhusisha tukio la kukamatwa kwa ROMA na mambo ya kiasiasa na wasubiri hadi pale ukweli utakapojulika.
Pia Soma
Utata: Msanii Roma Mkatoliki na wenzake wakamatwa/tekwa nyara