Ngushi
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 9,065
- 18,358
Jana Diamond wakati unamwomba msamaha gwajima ulisema umegundua makonda na gwajima wanagombanishwa na mwanamke mmoja ambaye wengi tunaamini ni mange!
Kwa hiyo wao hawana akili ya kuona wanagombanishwa ila wewe diamond ndio una akili hiyo?
Je, gwajima na makonda hawana maamuzi binafsi isipokuwa kutegemea maamuzi ya huyo mwanamke?
Acha kudhalilisha wanaume wenzio wewe kama wanategemea huyo mwanamke asemaje ndipo wao wagombane!
Na wao hawaoni kama tatizo ni huyo mwanamke isipokuwa wewe ndio mwenye akili ya kuona hilo