simba45 mkali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 1,980
- 1,879
Salamu kwenu wana GT.
Watanzania kwa pamoja bila kujali itikadi,dini wala kabila wamemuomba Baba Askofu Gwajima kuliombea Taifa hili la Tanzania kutokana na hali ya sintofahamu na yanayotokea na kulikumba taifa kwa sasa.
Watanzania wengi huko mitaani wanaamini Baba Askofu Gwajima ndiyo kiongozi wa dini jasiri na anayeweza kusimama na kukemea maovu bila ya kumuogopa mtu.
Pia wamemuomba kufanya maombi maalumu kwa Taifa katika ibada ya jumapili ya kesho 9/4/2017, ata ikiwezekana akemee na kulaani yafuatayo÷
1.Roho mbaya ya utekaji ikiwa baadhi ya watanzania yamewakumba @Roma,Moni,Emma, Ben saa nane n.k.
2. Udikteta uchwara
3.Pepo mchafu na uongozi wa madaraka ya kulevya.
4. Pepo wa visasi,katili,kutishia watu na kuwatolea watanzania matamko machafu na yasiyo ya kiungwana.
5. Pepo mchafu wa kibashite dhidi ya uvamizi wa vituo vya redio, studio za music na wizi wa vifaa vya studio. @uvamizi wa clouds, na studio ya Tango records.
6. Pepo mchafu wa madaraka ya kulevya.
7. Na wale wenye kiburi,ubabe na kujifanya wao ni ndugu yao na Yesu.
8. Uwaombee wasanii na watu wengine waliyotekwa na Bashite.
Kama kuna mengine tunaomba msaidie kuoredhesha ili baba Mchungaji Askofu Gwajima atende miujuza na upako wake.