ubuntuX
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 1,977
- 2,200
Wakuu
Kwa sasa mitandao ya kijamii inafanya kazi kubwa kwa kuhakikiaha watanzania wanapata kile wanachokihitaji kwa kukipigia kelele
Ilianza kwa Nay tukapaza sauti kwa pamoja ikafanikiwa
Sasa ni Roma nae kafanikiwa,
Ni wajibu wetu sasa tuitumie mitandao hii kwa kuungana watanzania wote tuchague kitu kimoja tukisemeee hadi kifanikiwe na serkali hii then tuhamie katika hitaji lingine
Tutumie mitandao tuilazimishe serkali ifungue ajira mpya kwa wahitimu wote kama ilivyokuwa awamu ya nne
Tupige kelele vinali vya uhamisho, kupanda madaraja na kuongezwa mishahara kwa watumishi
Tupiganie katiba mpya,
Tuungane tupige vita ongezeko la bei ya gesi ya kupikia, sukari kupanda bei na kupanda kwa gharam za maisha
Kwa pamoja tupiganie bunge live, uhuru wa habari na democracy kwa ujumlah
Tuungane, tanzania bila shinikizo katika mahitaji yetu haitafanikiwa katika utawala huu