Tujenge nchi yetu, tusianzishe miradi mikubwa ya mashamba

kimanganuni

JF-Expert Member
Dec 14, 2015
323
170
Hivi kama tuna nia ya kujenga nchi kwanini tusianzishe miradi mikubwa ya mashamba ya umwagiliaji? Ardhi ipo, mito maziwa etc.
 
Mkuu mimi nashangaa sana Tanzania haikutakiwa kuwa na shida ya chakula hata kidogo kwa mfano mikoa ya Kanda ya ziwa na magharibi ilitakiwa kulisha Tanzania kwa mwaka mzima ila kama ukerewe nao wamezungukwa na ziwa wanalia ukame si upumbavu huu
 
Haha kiuhalisia hiyo ni good idea ila wakikusikia wenyewe hawatakupenda Rebeca

nimejificha kwenye handaki hawataniona,lol ila serious hawawezi kuwa na mtu/watu/mshauri kutoka nje awe anawapa ushauri how to run things,hata kama ni kwa kumlipa????
 
i think tuna employ watu kutoka nje kufanya miradi mbalimbali,kwa nini tusiwe na external cabinet,inayotoa ushauri hio ni kampuni independent na iliyojaza watu wenye utaalamu mbali mbali,kutoa ushauri kwa serikali??? haiwezekani Lusajo?
 
Ningekuwa mimi wala hata nisingejiuliza mara nyingi. Wizara za kilimo, fedha, elimu zanahitaji msaada haraka. Ishu ni uzoefu wala haitamaanisha kukubali kutawaliwa tena
 
Shamba la mbowe la mboga limefungwa kisa, kalima kwenye chanzo cha maji,ila wakulima karatu na kunyima wananchi maji,waliungwa mkono na gambo. Labda yaanzishwe na wenyewe km mradi wao wa chama.
Ila kwa mtu,mwingine labda awe na kadi ya ccm.lakini kwa kujaribu ni vzr sn,mafanikio ya ukulima karibu na maji niyauhakika sn.
 
i think tuna employ watu kutoka nje kufanya miradi mbalimbali,kwa nini tusiwe na external cabinet,inayotoa ushauri hio ni kampuni independent na iliyojaza watu wenye utaalamu mbali mbali,kutoa ushauri kwa serikali??? haiwezekani Lusajo?
Rabeca wazo zuri, shifa kubw, we lack sastanable organization.tuko nyuma sana even development of idea
 
Back
Top Bottom