Kweli njaa ipo, wananchi jamii ya wafugaji (wasukuma) ktk wilaya ya Ulanga wamefikia hatua ya kutumia unga wa ngano kama unga wa sembe kwa kupika ugali na matumizi mengine kutokana bei ya unga wa sembe kg 1 tsh 2000 na unakuta mtu ana watoto 18 na wake 3, ni bora kanunue ngano ambayo kg 1 tsh 1200 ataweza kuwafikisha mwezi wa tano ambapo mahindi yakuwa tayari yamekomaa.