Stream line
JF-Expert Member
- Apr 22, 2015
- 393
- 239
Mh. Rais wangu na watanzania waliokuchagua. Chapa kazi. endelea kutimiza ilani ya chama. usisikilize ya mitandaoni.Mara jana shyrose - mtukana ovyo. Kesho Bulembo na bintiye. Kwani unapoingia kwenye siasa unategemea nini si hayo hayo na zaidi.
Mbona wewe upo pamoja na matusi juu yako. Hiyo familia ya Bulembo imeanza leo siasa hata mtu awe msemaji wao, kama ana mahusiano si waone Korea Kusini.
Huyo Nape leo amekuwaje mzuri kupita wanasiasa wengine. Leo ndo kanukia si yeye aliyetukanwa hata akakimbilia media kusema hakupendelewa kwa kuwa ni kijana wa Nnauye bali kwa kuwa ktk watoto wa Nnauye ni yeye pekee aliyeamua kuingia ktk siasa.
Juu ya Roma, hawa ni wafanyabiashara, tunaiwekaje serikali katika mchezo huo? Siro kasema wazi mchezo wa utekaji ni wa kawaida, kwanini leo watanzania hatutaki kukaa na kusubiri polisi wafanye yao?
Usiwasikilize wabwabwajikaji sasa tuliokupigia kura tuko na wewe.