KITU KIPYA KABISA
Member
- Feb 16, 2017
- 39
- 32
Bunge la Tanzania linaweza kupitisha azimio la kumtoa Rais madarakani kwa mujibu wa Ibara ya 46A ya katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Kwa kufuata utaratibu ufuatao;
1. Rais lazima awe ametenda kati ya yafuatayo;
A. Ametenda mambo ambayo yanavunja Katiba au sheria ya maadili ya utumishi Wa umma.
B. Ametenda vitendo ambavyo vinakiuka Maadili yanayohusu sheria ya uandikishwaji wa vyama vya siasa
C. Amekua na mwenendo unaodhalilisha kiti cha urais
2. 20% ya wabunge wote wasaini kwenye azimio na iwasilishwe kwa spika siku 30 kabla ya siku ya bunge kuanza.
3. Spika atamruhusu mtoa hoja kuwasilisha hoja, mbunge mtoa hoja atawasilisha hoja yake.
4. Baada ya mbunge kuwasilisha hoja, bila kuijadili hoja hiyo bunge litapiga kura kuunga mkono hoja au kupinga.
5. Wabunge wasiopungua 2/3 wakipiga kura ya kuunga mkono hoja, basi Raisi atasimamishwa na kuondolewa Ikulu huku ikiundwa kamati maalumu ya uchunguzi, kuchunguza tuhuma anazotuhumiwa nazo Rais.
6. Kamati ya uchunguzi hiyo itakua na watu wafuatao;
A. Jaji Mkuu (kwa sasa ni Kaimu Jaji Mkuu)
B. Jaji Mkuu wa Zanzibar
C. Wajumbe 7(wabunge) wanaoteuliwa na Spika.
7. Kamati ya uchunguzi, ndani ya muda usiozidi siku 90, watatakiwa kurudisha ripoti kwa spika. Ripoti itakua inahusu uchunguzi uliofanywa kuhusiana na tuhuma anazotuhumiwa Nadia, na kamati lazima imhoji Rais.
8. Ripoti ya uchunguzi ikiwasilishwa bungeni, na baada ya kuwasilishwa bungeni, bunge litaijadiri na baada ya kujadiri bunge litapiga kura.
9. Baada ya kupiga kura, wabunge wasiopungua 2/3 wakipiga kura ya kuwa tuhuma dhidi ya Rais zimethibitishwa, basi Rais ataondoka rasmi madarakani.
10. Baada ya maazimio ya bunge, bunge litamtaarifu mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ili mwenyekiti wa tume aitishe uchaguzi wa Rais.
.