Mara: Maiti ya mtu 1 asiyefahamika imeokotwa ikiwa imetupwa ziwa Victoria

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,279
Tukio la kusikitisha wakati familia kadhaa za watanzania leo huko Leo mkoani Mara katika ufukwe wa ziwa Victoria imeokotwa maiti ya mtu mmoja asiyefahamika ikiwa imetupwa ziwani.

Mazingira ya kifo chake yanaonesha mtu huyo mwanaume aliuawa, akafungwa kama kifurushi kwenye baiskeli, kisha yeye na baiskeli yake wakatoswa ziwani.

TAHADHARI: Picha zinaweza kusababisha usumbufu kisaikolojia maana ni za kuogofya.

tmp_32176-FB_IMG_14915692940081803442544.jpg

tmp_32176-FB_IMG_1491569291071-1518254750.jpg
 
mbona uhai wa mtu unakua kama haupewi thamani inayo stahili hapa kwetu TZ,
[HASHTAG]#ikowapiserikali[/HASHTAG] [HASHTAG]#waTanzaniatuamke[/HASHTAG] tutokomeze haka kamchezo
 
Tunatoka kwenye tukio LA kibamba Sasa Mara.mwenyezi Mungu utasamehe sisi waja wako naimani damu hii waloimwaga itawalilia watafahamika tu waloutenda huu unyama.rest in peace marehemu
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom