Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 3,736
- 7,105
Nilimshangaa na kumdharau "Kazi" Ndugai kuagiza kukamatwa na kupelekwa bungeni Halima Mdee huku akiwa amefungwa pingu. Sheria zetu za Tanzania ziko wazi kuwa mwanamke asifungwe pingu (women should not be handcuffed). Kama yeye Spika akiwa kama msimamizi mkuu wa watunga sheria hajui hilo ni aibu kwa taifa.
Pia tuhuma dhidi ya Halima Mdee ni minor sana. Kesi ya kutoa lugha ya matusi ni very minor case! Hata hivyo neno mpumbavu limeandikwa hata kwenye vitabu vitakatifu (Biblia) likimaanisha ni mtu ambaye hajui na hajui kuwa hajui. Ni mhemuko unaoashiria chuki, jazba, uonevu, kutojiamini, kuagiza mbunge kukamatwa kama jambazi au gaidi. -Kwani angemwagiza kuja huko anakotaka aje asingekuja?
Kama Bunge letu limefikia kuonesha chuki za kisiasa hadharani hivyo, maana yake tumefikia hatua mbaya sana.