Bring back our Ben

issa mweusi

JF-Expert Member
May 31, 2015
1,477
1,138
IMG_20170410_060818.jpeg
 
Kweli kufanyiana uharamia namna hii. Kweli mtu anapotezwa kwa sababu kutofautiana kiitikadi inawezekana kweli.

Watanzania hatuna furaha kwenye nchi yetu kwa matendo yanayoendelea. Hatukutegemea kufika huku.

[HASHTAG]#bringbackbenalive[/HASHTAG]
 
hivi kitu gani kilisababisha hii movement kusinyaa hadi kuibuka baada ya kutekwa Roma.
Fundisho;
Wasanii wako makini kwa mambo yao kuliko chama cha siasa kinachopambana kukamata dola. Waliona Utenzi wa Bashite ni bora kuliko movement hii ya msingi kwa ustawi wa chama chao.
(pamoja na changamoto hapo juu siungi kupotea kwa raia katikati ya nchi yenye amani, watu wa usalama wafanye kazi yao ya kutuhakikishia usalama sisi raia wanyonge)
 
"BEN SAA NANE ANAONEKANA VIJIWE VYA KAHAWA NA RAFIKI ZAKE"

Saed kubenea


NADHANI MNGEANZA KWANZA KUMUULIZIA BEN KWA MBOWE AMBAYE NI MWAJIRI WAKE, PIA MUMUULIZE KUBENEA MAANA ALIKIRI AMEMUONA VIJIWE VYA KAHAWA.
 
Back
Top Bottom