Lupyeee
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 2,683
- 2,820
Baada ya upinzani kupoteza dira na kukosa ajenda mbele ya wananchi.
Sasa hivi wameungana na wauza madawa ya kulevya, mafisadi, wakwepa kodi na wachawi.
CHADEMA baada ya kupoteza mvuto kwa wananchi sasa wamebuni mbinu ya kuungana na majambazi na kujiteka ili wapate umarufu wa kisiasa.
Lakini bado wananchi wanaendelea kuwapuuza hawa wahuni.
Watanzania kila kona wako bize kuchapa kazi kuitikia wito wa hapa kazi tu.
Tangu kuanguka kwa biashara ya madawa ya kulevya, ufipa hawana raha kabisa na wanahangaika kweli kweli kutafuta huruma ya wananchi.