Swali la kichochezi: Wako wapi wale waliokuwa wanapiga pushup kumsapoti Mr.?

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,580
7,944
Wakuu habari!
Wadau, naomba kuuliza, wako wapi wale waliokuwa wakipiga PUSHUP wakati wa kampeni na miezi michache baada ya uchaguzi mkuu uliopita?
Maana huku kwetu hawaonekani sıku hızı.

32fddf119546fe0bb14cf350f91efcd8.jpg
 
Wakuu habari!
Wadau, naomba kuuliza, wako wapi wale waliokuwa wakipiga PUSHUP wakati wa kampeni na miezi michache baada ya uchaguzi mkuu uliopita?
Maana huku kwetu hawaonekani sıku hızı.
Weka picha mdau
 
Wapige push up kwani ni wakati wa kampeini huu ? Tupo wengi wa kumwaga subiri 2020 tuwapige chini tena enyi msio na hoja wenye kuishi kwa matukio
 
1.jpg

Huyu mwingine hana hamu, yule mwenzie ndo hata hasikiki maskini sijui yupo wapi
 
View attachment 493281
Huyu mwingine hana hamu, yule mwenzie ndo hata hasikiki maskini sijui yupo wapiwe
View attachment 493281
Huyu mwingine hana hamu, yule mwenzie ndo hata hasikiki maskini sijui yupo wapi
View attachment 493281
Huyu mwingine hana hamu, yule mwenzie ndo hata hasikiki maskini sijui yupo wapi
Duuuuhhh, siasa ni mchezo mzuri sana kama si mchezo haramu.Na huyu mwingine cheo chake kinatumiwa na Bashite.
 
Back
Top Bottom