Good People
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 945
- 1,819
Wakuu hii Mvua haijawahi Kunyesha hivi ni Mvua Kubwa sana natazama maji Jangwani Makao Makuu ya Yanga Uwanja ule wa Kaunda Umefurika kama Bwawa la Mtera.
Weka pichaWakuu hii Mvua haijawahi Kunyesha hivi ni Mvua Kubwa sana natazama maji Jangwani Makao Makuu ya Yanga Uwanja ule wa Kaunda Umefurika kama Bwawa la Mtera.
Wakuu hii Mvua haijawahi Kunyesha hivi ni Mvua Kubwa sana natazama maji Jangwani Makao Makuu ya Yanga Uwanja ule wa Kaunda Umefurika kama Bwawa la Mtera.
hahahaa jamaa anavua perege muda huuu
Tupe matokeo ya mechi ya Yanga na Waarabu.Wakuu hii Mvua haijawahi Kunyesha hivi ni Mvua Kubwa sana natazama maji Jangwani Makao Makuu ya Yanga Uwanja ule wa Kaunda Umefurika kama Bwawa la Mtera.
Kikao kinahusikaje na mvua?Wewe umeona hapo tu?
Kikao cha kujadili point za mezani kinafanyika kwenye bwawa hilo
Hatari tupu, zipelekwe helikopta na boti haraka vinaweza kuokoa hata ndala zao na boxa!Duuh, sasa jengo likianguka Itakuwaje na manji bado mgonjwa, eeeh Mungu wetu tusadie
Hivi ile amri ya wote wanaoishi mabondeni wahame.. Waitikia namna gani hawa jamaa.!?Kweli wapo jangwani! Vyema ikaitwa wanabondeni
Simba yenye mipango imekosaje kushiriki michuano ya kimataifa kwa miaka mitatu mfululizo??Waambie ubishi tu, tatizo yanga hawana mipango ipo ipo tu km mitoii!!
Wapewe Kiwanja kingine mabwepande na kulipwa fidia kama walivyofanya kwa wananchi wengineHatari tupu, zipelekwe helikopta na boti haraka vinaweza kuokoa hata ndala zao na boxa!