VIROBA VIRUDI ???

TheCrazy Mchokozi

Senior Member
Apr 7, 2017
180
251
Baada ya serikali kuvitoa viroba, kwa nia njema ya kutukomboa Vijana...sasa vijana tumeletewa Bia za bei rahisi

Karibu kila kampuni ya Bia, Imetoa 'Vimwendokasi'(virikuu)... Bia mpya (singependa kuzitaja) zimechipuka

Hii imetokana na vijana kutafuta vilevyi vya bei rahisi kukata kiu...

Nafikiri, Je Wazo la kuvitoa Viroba lilikuwa baya au ???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom