Beach Hotel nzuri kwa bajeti ya 15,000-25000 msosi

infomania

JF-Expert Member
Jul 29, 2014
242
159
Habari wanajamiiforums,

Naomba msaada wenu kwa watakaoweza kunisaidia, nina kamkutano fulani hivi cha kama watu 7 hivi sasa nataka nikafanyie kwenye beach hotel mojawapo ya hapa dar. Nina max bajeti ya TZS 25,000 kwa ajili ya chakula na soda/maji/juice kwa mtu mmoja. Vyakula namaanisha vyakula tu vya kawaida mfano chips kuku, chips samaki, chips mishikaki. Naomba mwenye kujua beach hotel nzuri anijuze!

Natanguliza shukrani za dhati kwa watakaonisaidia!

Infomania
 
Mkuu kumbe girrafe nao bei zao nzuri eeeh! thanks!
Yaap kwa 25 na kwa kikao inatosha tu..hotel za kule chin inayotsha n ramada,beach comber kmtnfo na whitesands,zngne kawaida 2..soko hamna sku iz
 
Unaweza kujaribu hata slipway. Nafikiri utapata chakula na mandhari nzuri kwa hiyo bajeti mkuu. Kila la kheri.
 
Back
Top Bottom