Kongowe, Dar: Panya road wafanya yao...

davie dee

JF-Expert Member
May 17, 2015
934
1,212
Kimenuka maeneo ya mzinga Kongowe jijini Dar es Salaam vijana wahuni almaruuf kama panya rod wanafanya yao wameteka gari ilokua na msafara wa harusi na kuwajeruhi baadhi ya watu waliomo...

Taarifa zaidi na picha znakuja mda si mrefu
 
Wanaume wa Dar mmekimbia hivyo vitoto na kujifungia majumbani?????

Mbona mnatutia aibu jamani?
 
Bila shaka mmemuua kijana wao mmoja sasa kwa hasira wanasambaza dozi

Kamishna sirro yupo busy na akina TID ,Hussein pambakali ,wema nk
 
Back
Top Bottom