Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Heshima kwenu wanajamvi. The video went viral last Sunday. It shows a passenger in an American Airline being dragged off the plane (like a Lion dragging a gazelle in the Serengeti plain ). Tatizo...
0 Reactions
0 Replies
567 Views
Natafuta kifaa kinacho itwa satilie finder kwa anae uza please
0 Reactions
4 Replies
909 Views
Kwa kawaida huwa tunajidanganya na kudhani tunajua mengi sana kuhusu maisha au yote kuhusu maisha, wakati ukweli ni kwamba tunayoyajua ni yale kidogo tu ambayo tumekutana nayo au kujifunza...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tunaishi katika ulimwengu huu wa ajabu. Kila mmoja anaafiki kwamba tungeipatia nafasi amani; lakini basi, zile chuki zilizokandamizwa kwa kipindi cha karne fulani zilizopita, zinalipuka na kuwa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu naomba mnitajie vitabu vinavyohusu mambo ya ujasiliamali vya kiingereza na kiswahili
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwanadamu hujaribiwa sawasawa na ukubwa wa imani yake. Kwanini Gwajima anapojaribiwa anatangaza vita? Nasubiri Gwajima kama atamsagasaga huyu Mchungaji au machine yake saa hizi yake ni akina...
2 Reactions
58 Replies
12K Views
Kwa kweli nashindwa kuwaelewa Baadhi ya wabunge wetu, kwani utakuta Mbunge kasimama kuchangia bajeti ya wizara husika lakini cha kustajabisha ataanza na misifa na kumalizia na misifa , Je hiyo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Najiuliza sana katika hili, yaani kila nikisikia wahamiaji haramu wakamatwa basi ni wasomali au waethiopia.. cha kishangaza wakongo na wanigeria sio wahamiaji haramu?? Kwa hapa Dar es salaam...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Mirungi au milaa ni miongoni mwa kundi la madawa ya kulevya inakuwaje asilimia 90% ya wasomali wanatumia aina hii ya ulevi wakati dini yao inakataza ulevi, inamaana alshabab na wafia dini wengine...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu kuna Jambo linanikera Sana halafu naona hadi kwenye idara za serikali limeanza Nakumbuka wakati wa kampeni mgombea Pombe Magufuli alisema hili suala la kutangaza kazi then kuhitaji watu...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
HATARI SANA ```Kwenye moja ya hospitali kubwa hapa mjini, kwenye chumba cha wagonjwa mahututi {I.C.U.} wagonjwa walikuwa wakifariki Dunia kwenye kitanda kimoja na muda ule ule saa 1 asubuhi kila...
1 Reactions
2 Replies
763 Views
Haya swali kwa Waswahili: Kati ya Chai ya Rangi na Chai ya Maziwa ipi haina rangi? Hii mnaruhusiwa kuibia hata Google badaye tutafanya majumuisho
0 Reactions
10 Replies
10K Views
NIMEIPENDA HII POTEZA DAKIKA KADHAA KUISOMA IKUFAE MAISHANI. Baba mmoja alikuwa na wake wanne. Alimpenda sana mke wake wa nne na alitumia gharama kubwa kwaajii yake na kumpa matunzo bora. Pia...
20 Reactions
29 Replies
3K Views
1. GRISELDA BLANCO Inawezekana huyu ndiye akawa muuza unga mwanamke katili, mwenye uwezo mkubwa kuliko wote kuwahi kutokea katika historia ya dunia. Ameshahusika na mauaji ya watu zaidi ya 200. Ni...
3 Reactions
36 Replies
15K Views
Together Tunawakilisha WEDNESDAY , 12TH APR , 2017 Serikali imesema jumla ya walimu 3,081 wakiwemo walimu 7 wa shule ya Sekondari Omumwani Kagera, wameajiriwa, hivyo bado kuna nafasi ya walimu...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
*HOW_D9_CLUB_WORKS- AN_OPPORTUNITY_NEED_NOT_TO_BE MISSED_IN_2017::* D9 Clube is a school that was established to recruit Professional Sports Traders who will profit from trading in Sports. D9...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ni takribani mwezi sasa tangu azimio la wahariri na wanahabari kutamka kutompa ushirikiano mkuu wa mkoa wa Dar ndugu Bashite.. Leo katika mtandao kuna habari inasema huyu Bashite atakuwa mgeni...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Leo ni siku ya kuadhimisha siku ya Watoto wa mitaani Duniani. Nakumbuka mwaka Jana au juzi Watoto wa mitaani kutoka mitaani Tanzania walishiriki Mashindano ya Kombe la Dunia humo Brazil na kutwaa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Chanzo ni kujifanya mjuaji kwenye shughuli flani inayohusu Data centre ya Kampuni mwisho wa siku Data zote zikawa erased according to the IT Expert aliyeitwa na akadai it's unrecoverable despite...
5 Reactions
53 Replies
5K Views
Kuna utapeli unaoendelea kwa sasa hususani mjini wapo watu wanaojidai kuwa ni maaskari wa upelelezi. hapa naandika namna walivyo mfanyia rafiki yangu wa karibu sana. Majira ya sita mchana siku ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom