Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,628
- 6,669
Leo ilikuwa ni siku ya kuwa wazi kile kilichomkuta msanii Roma na ikaelezwa saa 8 ndio atakutana na wanahabari. Lakini waziri amevamia mkutano huu na ni wazi kabisa Roma kabanwa asipate muda vizuri kufafanua zaidi.
Ingekuwa vizuri Mwakyembe angewatafuta waandishi atoe ripot yake huko kwanza alikua kimya leo ndio kaibuka apate kiki.
Roma tafuta muda mwingine useme na watanzania, itisha press conference yako!
Ingekuwa vizuri Mwakyembe angewatafuta waandishi atoe ripot yake huko kwanza alikua kimya leo ndio kaibuka apate kiki.
Roma tafuta muda mwingine useme na watanzania, itisha press conference yako!