mtata.tz
Member
- Jul 31, 2015
- 43
- 21
Salamu kwenu, Niende kwenye dhumuni kuu la uzi huu. Kuna tabia inataka kuidhijishwa na viongozi wetu ambao kipindi cha kuomba kura huwa wanyenyekevu kweli kuficha maovu yao ila pindi wachaguliwapo au wapatapo ushindi hata kwa mabavu hujigeuza watawala.
Sasa basi kinachokuja kukera ni wale ndugu ambao wamepelekwa kozi kwa kodi zetu tena katika mataifa ya kigeni kusomea ujasusi ambao kimsingi unatakiwa ujuzi wao utumike kwa manufaa ya nchi na sio ya watawala.
Inakera kusikia wameshikwa kama kuku waliolowana msumbiji tu hapo halafu huku nyumbani ni ma gwiji wakuteka ndg zetu na kuwafanyizia. Hivi hawaangalii hata muvi za kijasusi mf. za james bond? Mbona wanafanya vitu vya hovyo hv?
Au ndio tuamini ngozi nyeusi ina laana?
Badilikeni fanyeni kazi kwa weledi na kufuata misingi ya kazi yenu. Kama mna hasira njooni mning'oe kucha ila msg sent. Mnakera sana. Mnadhani mtaishi milele