jojipoji koromije
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 1,003
- 1,428
Mimi binafsi na wasikilizaji wengine wa CMG hususani Clouds FM tuliimisi sana sauti ya camarade Luambano, najua kusaga na ruge hawakosi kupita JF daily ndo maana kilio chetu mkakisikia . Hongereni sana.
Pia nimpongeze camarade Luambano kwa kurudi kwenye kipaza kwani najua kabisa hata wenzangu wanaokusikiliza tunaamini makosa uliyofanya ni ya ulimi kuteleza na ni ya kibinadam ambayo unastahili usamehewe. Hongera sana!!!
Pia camarade Luambano huna kashifa yoyote na hatujawahi sikia figisu lolote lililokukumba kitaa Mzee mzima!!! Hiyo inamaanisha unajiheshimu na unaipenda kazi yako.!! Ubarikiwe
Sasa nakuomba upige kazi kama unavyofanya siku zote, tuko pamoja Na wewe wasikilizaji wako. Usihofu sauti yako kwenye sports extra Ni zaidi ya kipindi !!! Twende Kazi!!!
Angalizo kwa Clouds Media Group ; ikiwa kibonde akatokea akajichanganya kuhusiana na ban ya Makonda Walahi asisamehewe, na ninaamini hakuna atakaemtetea. Kibonde ni mtangazaji mzuri ila alizama sana kusifia upuuzi hata kwa makosa ya wazi ya bashite. Kibonde akijimix tu na issue ya bashite RED CARD inamhusu wala haihitaji majadiliano.