Mtafuta Kiki na mwehu ni wewe ulipelekea pumba zako hapa, ndo maana kiuzi chenyewe hakija Kiki wala nini. Limekushuka shuuUnatafuta kiki mwehu wewe
Ha ha ha ....du!Sasa kama umeidharau sisi tukusaidieje labda......
Nenda nyumbani kwake utaziona picha zake kama shida yako ni picha zake.Muda si mrefu itv wametoka kurusha habari inayohusu madawa ya kulevya,mhusika ni someone skuba,huyu mtu hata picha hawajaonesha zaidi ya majengo ya mahakama ya kisutu,hivi ni nini huyu mtu ni nani? Amewapa nn waandishi?
Asubuhi picha zao zilikimbizwa fasta. Huyo sijui Shikubha, ckuba, Shikuba and so forth! Maana ana majina mengi kwa jina moja. Watu wanashindwa ku- pronounce jina lenye alphabet 7 ama 6 kweli! Kwanza upotoshaji huanzia na vitu vidogovidogo kama hivi, halafu baadaye utasikia walioandaa mashitaka walikosea majina nk.Sasa kama angekuwa kawapa chochote kitu wasingeisoma hiyo habari kwani kuna mtu anawalazimisha
Kitakacho fuata atahoji kwanini washtakiwa/ watuhumiwa/ washukiwa hawasikiki sauti zao pindi wawapo mahakamani!Sasa kama umeidharau sisi tukusaidieje labda......
lol.........Ha ha ha ....du!
Msaidie nauli ya bajaj mpaka Kisutu ajionee mwenyewe!