Rais2020
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 3,248
- 5,537
Mahakama ya mkazi Kisutu leo inatarajiwa kutoa uamuzi leo iwapo Watanzania watatu akiwemo Ally Khatibu Haji maarufu kama Shikuba - wanaotuhumiwa kwa kujihusisha na biashara dawa za kulevya watasafirishwa kwenda Marekani kujibu mashtaka yanayowakabili nchini humo au wataendelea kubaki nchini.
Refer: Madawa ya Kulevya: Waziri wa Katiba na Sheria aomba Shikuba akashtakiwe Marekani!
Refer: Madawa ya Kulevya: Waziri wa Katiba na Sheria aomba Shikuba akashtakiwe Marekani!