Security Warning: There are Problems with the security certificate for this site

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
12,426
22,902
Habari za asubuhi wadau:
Kuna huu Ujumbe ninaoupata katika kifaa changu ninapofungua Mtandao wa Jamii forums ningeomba kupatiwa ufafanuzi kuwa ni kwa computer yangu tu au simu yangu tu au hata wenzangu mnaupata Ujumbe huu pindi mfunguapo mtandao wa jamii forum?

Ningependa kama uongozi wa jamii forum utatoa maelezo ya ziada kututoa khofu watuamiaji wa JF maana kwa sasa hali si shwari inawezekana kuna hackers wanataka kufuatilia watu humu ndani.
Ni hayo tu

Asubuhi njema,
Mdau
 
Back
Top Bottom