Zifahamu njia mpya za udanganyifu

chamilo nicolous

JF-Expert Member
Mar 10, 2016
2,081
1,437
Njia hizi zimevikwa vazi la dini nazo ni
a. Ndoto
b. Maono
c. Miujiza
UFUATAO NI MCHANGANUO WAKE
A. NDOTO JINSI ZINAVYOTUMIKA KUTEKA NYARA WATU;
Baadhi ya watu wanaodai kuwa Watumishi wa Mungu wamekuwa wakitumia njia hii ya Ndoto kutumiza makusudi yao maovu au kujipatia faida na fedha kwa watu wanaowahudumia,HAWA HUJA NA STAILI AU USEMI UNAOSEMA NIMEOTESHWA ; Angalia kwa ufupi kisa kimoja cha mwanamke KUNA MWANAMKE -Mmoja alienda kusali kanisa furani siku hiyo ilikuwa ndiyo siku ya kwanza kwake kusali kanisa hilo wakati mahubili yanaendelea au hotuba ghafula yule mchungaji akasikika akisema nimeoteshwa na Mungu kuwa utakuwa mke wangu mchungaji alimwambia huyo mwanamke ,Wakati huyo mwanamke tayari anamume wake .SWALI LAKUJIULIZA NIKWELI NDOTO HIYO IMETOKA KWA MUNGU?

ANGALIA NJISI WANAVYOTEKA WATU KUPITIA NDOTO
YEREMIA 23:25 Nimesikia waliyoyasema manabii wanaotabiri uongo kwa jina langu ,wakisema nimeota ndoto. NJIA NYINGINE AMBAZO WATU HUPATA NDOTO
MHUBILI 5:3,7 Kwa maana ndoto huja kwa sababu ya shughuli nyingi; na sauti ya mpumbavu kwa njia ya wingi wa maneno. Maana ndivyo ilivyo katika habari za wingi wa ndoto, na ubatili, na maneno mengi; walakini wewe umche Mungu.

JE LENGO LAO KUBWA NI LIPI-JIBU NIKUJIPATIA MAPATO YA AIBU
TITO 1:11 Hao wanapindua nyumba nzima ,wakifundisha yasiyowapasa KWA MAPATO YA AIBU Kama ndoto au maono unayoambiwa au kutabiliwa yanapingana na neno la Mungu hizo sio ndoto wala maono yaliyotoka kwa Mungu.

CHUNGA SANA, MATAPELI NI WENGI
 
B na C viko wapi mbona hujavielezea? Nina mashaka na hoja unayotaka kuijenga hapa.

JE LENGO LAO KUBWA NI LIPI-JIBU NIKUJIPATIA MAPATO YA AIBU
TITO 1:11 Hao wanapindua nyumba nzima ,wakifundisha yasiyowapasa KWA MAPATO YA AIBU Kama ndoto au maono unayoambiwa au kutabiliwa yanapingana na neno la Mungu hizo sio ndoto wala maono yaliyotoka kwa Mungu.

CHUNGA SANA, MATAPELI NI WENGI
 
Kuna watumishi huwa wananifanya niombe msamaha kwa muumba maana huwa ninawawaza vibaya sana kwa aina ya mahubiri yao yaani kila kukicha wao ni sadaka na shida za waty hakuna siku watu wanafundishwa kuhusu uzima wa milele kila siku sadaka tu ile hali mzizi wa dhambi unakuwa kwa kasi.
 
Back
Top Bottom