Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari. Mimi ninahusika na vifaa vya usalama kama CCTV camera, Electric Fence, GPS tracker na vinginevyo. Na ID hii ni kwa ajili ya maswala hayo tu . Lakini kwasababu jamiiforums imenipa manufaa...
0 Reactions
27 Replies
7K Views
======================================== Wakuu huyu ndio Faru Fausta ambaye ni kipofu,usahihi wa habari hii umeletwa na na mkuu cDNA na Sakasaka Mao Jf kisima cha maarifa barafu FARU FAUSTA WA...
17 Reactions
147 Replies
26K Views
Maelezo ya kwenye picha yanaeleza kila kitu. Swali, Tunatokaje!?
16 Reactions
144 Replies
12K Views
Makampuni karibuni yote ya ndege yana jua hilo .Na tayari mengi yamefunga hii system Flight Guard is an Elta Systems Ltd's brand name for a family of airborne systems for protecting civilian...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu nimemtumia ndugu fedha za sikukuu leo mchana , kwa M Pesa,lakini kule ziendako hakuna message iliyokuwa delivered ili mtu atoe zile fedha. Nimewapigia Vodacom Huduma kwa wateja, hakuna jibu...
3 Reactions
30 Replies
6K Views
Kwanza kabisa nitangulie kusema uzi huu si wa kupingana wala kui-challenge serikali yangu bali kuibua mjadala ambao utatusaidia kusimamia vema rasilimali za taifa. Sasa naomba kuanzia hapa...
9 Reactions
48 Replies
8K Views
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Hospital hii kubwa na ya kisasa inayojengwa huko Chanika nashauri mamlaka husika ziiite MAKONDA HOSPITAL. WHY? 1. Ndie alie tengeneza proposal ya mradi huu...
16 Reactions
106 Replies
15K Views
Mambo ya kanisa yanapaswa yaishie kanisani. Sherehe yoyote nje ya kinachofanyika kanisani ni urimbo wa dhambi na maovu. Dunia nzima leo kutakuwa na kiwango kikubwa cha ufanyaji ngono ... Walevi...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
MHARIRI wa habari, Reggie Mhango, wakati huo nikiwa Daily News, aliniambia niende nyumbani nikabadilishe nguo kwa kuwa jioni ile nilitakiwa kufuatana na Mhariri Mtendaji, Ulli Mwambulukutu, kwenda...
0 Reactions
6 Replies
868 Views
Katika kusherekea sikukuu ya pasaka mabucha mengi yamejikuta katika hali ngumu baada ya biashara hiyo kuwa ngumu na nyama nyingi kubaki buchani ikiwa ni tofauti na kipindi cha nyuma.
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Ni mda wa wiki sasa pm yangu hapa jamii forum haifunguki sijui kwanini nilileta malalamiko kwa moderator hawajanisaidia afu ipo kwenye mwonekano mpya sielewi kwanini
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Moja ya ' Kanuni ' Mama kabisa ya Uandishi wa Habari ni kuwa Neutral and Fair hasa katika upelekaji wa taarifa kwa mlaji au walaji wako lakini hii tabia nimeivumilia kwa muda mrefu sasa na leo...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Wakubwa kama kawaida yao wapemba ustaarabu bado upo na utaendelea kuwepo kama kawaida yao. Leo nimepata kisafari kidogo kwenda kuwatembelea ndugu, jamaa na marafiki nikiwa pamoja na wife ghafla...
3 Reactions
1 Replies
857 Views
Wasalaaam!!. Kichwa cha habari hapo juu chahusika. Niwape pole Ndugu wa marehemu askari waliouawa barabara ya Kusini(Lindi, Mtwara). Kiukweli kabisa tukio la kuuawa askari limeniumiza sana...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Katika hali isiyotarajiwa, baadhi ya wagonjwa waliolazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Bukombe mkoani Geita juzi walikataa kupokea msaada wa vyakula na sabuni kama zawadi ya sikukuu ya Pasaka...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Hii itasaidia kwa kiasi kikubwa kupata eneo la biashara au la kufungua maofisi kwa ajili ya shughuli mbalimbali. Hii ni kutokana na mji kuwa na eneo finyu sana katikati. Ingependeza sana kuona...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mil 10 zangu zimeshikiliwa na majambazi hayataki kunipatia pesa zangu. Pasaka hii watoto wangu wanakula ugali bamia halafu Kwa jirani pilau kuku linanukia, na Coca Cola baridi jirani anajiachia...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Mi hii ya Martin Luther king Jr "We have learned to fly like bird's, we have learned to swim like fish, but we failed to walk as brother's and sisters" "Find voice in a whispers" Vipi wewe zako ni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Huu uzi ni maalumu kwa wale waliotoka mikoa mingine na kwenda Dar bila kuwa na kazi maalum. Unakuta mtu hana elimu yeyote, hana kipaji hana kazi anadandia gari anajikuta dar. Anaanza kukomaa ili...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom