Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Wakubwa kama kawaida yao wapemba ustaarabu bado upo na utaendelea kuwepo kama kawaida yao.
Leo nimepata kisafari kidogo kwenda kuwatembelea ndugu, jamaa na marafiki nikiwa pamoja na wife ghafla kwa ugeni wa nyingi tukaingia nyumba ambayo siyo bila kubisha hodi.
Paaaa! Mpaka ndani kama kwangu vile ghafla nikaona sura mpya ya mdada kalala kitandani nikajua ni mgeni wake mpya ambae tumeenda kumtembelea, tukabaki tunashangaa shangaa ghafla katoka mwenye nyumba tukamwambia tumekosea nyumba tulikusudia kwa fulani, basi kama vile tunajuana tukaanza kusalimiana vizuri tu.
Sasa nikaanza kukumbuka bongo kwamba yangetokea haya kwa haraka haraka lingetokea zengwe, aidha tungeonekana wezi au matapeli wa aina yake.
Maana kosa kubwa ni
kwamba tulishindwa kuuliza tukaingia kama kwetu. Namalizia kwa kusema hongera Pemba hongera Zanzibar kwa ujumla.